TANGAZA NASI KWA BEI NAFUU

Jumanne, 14 Mei 2013

REDD'S MISS KIBAHA 2013 KUPATIKANA IJUMAA MEI 17 KIBAHA KONTENA, MASHUJAA BAND KUWASHA MOTO


 Washiriki wa Shindano la Redd's Miss Ubungo 2013, wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa mazoezi yao yanayoendelea kwa ajili ya kujiandaa na shindano la kuwania Taji hilo katika shindano litakalofanyika siku ya Ijumaa Mei 17, katika Ukumbi wa Kibaha Kontena. 

Warembo hao wanaendelea kujifua katika ukumbi wa Vijana Kinondoni jijini Dar es Salaam. Shindano hilo litasindikizwa na burudani kutoka kwa bendi ya Mashujaa, ambapo Kiingilio itakuwa ni Sh. 10,000/= kwa VIP na  kawaida sh. 6000/=

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni