TANGAZA NASI KWA BEI NAFUU

Jumatano, 15 Mei 2013

MSANII WA LUNINGA 'DIPO' ATAMANI KUWA MATUMLA


Kocha wa mchezo wa masumbwi Klabu ya Amana CCM ,Kondo Nassoro (kushoto) akimwelekeza jinsi ya kutupa makonde, Haruna Mussa 'Dipo', ambaye ni msaniiwa michezo ya kuigiza kwenye Luninga, wakati alipofika katika Kambi hiyo kwa ajili ya kufanya mazoezi ya masumbwi ikiwa nisehemu ya kujiweka sawa katika kutimiza majukumu ya kazi yake.Picha na Super D

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni