TANGAZA NASI KWA BEI NAFUU

Jumatatu, 13 Mei 2013

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AKUTANA NA MCHUNGAJI DKT. MATHEW BYAMUNGU NA MKEWE IKULU DAR LEO


 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Mchungaji Dkt. Mathew Byamungu, wakati akimkaribisha Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo alipofika kwa mazungumzo akiwa ameongozana na mkewe, Je-Ynung.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Mchungaji Dkt. Mathew Byamungu na mkewe, Bi Je-Ynung Byamungu, wakati walipofika Ofisini kwa Makamu leo kwa mazungumzo. Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni