TANGAZA NASI KWA BEI NAFUU

Ijumaa, 10 Mei 2013

MAZIKO YA WATU WATATU WALIOKUFA KWENYE MLIPUKO WA BOMU YAFANYIKA ARUSHA LEO


Mapadri wakiwa wamebeba mislaba yenye majina ya marehemu wawili kati ya watatu waliofariki kwenye tukio la bomu la kurushwa kwa mkono kwenye kanaisa la Olasiti jijini Arusha May 5, 2013, katika ibada ya mazishi iliyofanyika kwenye kanisa hilo may 10,2013.
Mapadri wa kanisa katoliki wakiwa wamebeba jeneza lenye mwili wa Mtoto Patrisia na mbele kuna picha yake pamoja na msalaba wakielekea sehemu ya mazishi baada ya kufariki katika tukio la kutupwa kwa bomu la mkonokatika kanisa la Olasiti Arusha may 5, 2013.
Mapadri wa kanisa katoliki wakiwa wamebeba jeneza lenyenye mwili wa mmoja wa waliokufa katika tukio la kutupwa kwa bomu la mkonokatika kanisa la Olasiti Arusha may 5, 2013.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni