TANGAZA NASI KWA BEI NAFUU

Jumatatu, 13 Mei 2013

BENKI YA NMB YATOA MSAADA WA MILIONI 10 KWA WAHANGA WA BOMU ARUSHA


 Waziri Mkuu Mizengo Pinda (wa pili kulia) akipokea mfano wa hundi yenye thamani ya sh. Milioni 10 kutoka kwa Mkuu wa Idara ya Mahusiano Biashara za Serikali NMB, Domina Feruzi,  kwa ajili ya kusaidia wahanga wa bomu lililotokea hivi karibuni katika Kanisa la Mtakatifu Joseph ikiwa ni msaada wa benki ya NMB. Makabidhiano hayo yalifanyika mwishoni mwa wiki iliyopita Jijini Arusha.
Waziri Mkuu Mizengo Pinda, akimshukuru Meneja Mwandamizi wa  Masoko na Chapa NMB Rahma Mwapachu, baada ya kupokea mfano wa hundi yenye thamani ya sh. Milioni 10 kutoka Benki ya NMB ikiwa ni kwa ajili ya msaada kwa wahanga wa bomu uliotokea katika kanisa la Mtakatifu Joseph, jijini Arusha, hivi karibuni.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni