Joniko Flower akiongoza kundi zima la Skylight Band kutoa burudani kwa mashabiki wake ndani ya Uwanja wao wa nyumbani Thai Village Masaki jijini Dar Ijumaa iliyopita.
Sony Masamba na Mary Lukas wakitoa burudani kwa mashabiki wa Skylight Band kwenye kiwanja chao cha nyumbani Thai Village Masaki usikose Ijumaa hii.
Rappa wa Skylight Band Sony Masamba wakionyeshana maujanja na mdau wa Skylight Band Alois Ngonyani ndani ya kiota cha Thai Village.
Vijana wa Skylight Band wakitoa show kwa style ya aina yake kwa mashabiki wao.
Mary Lukas wa Skylight Band akionyesha umahiri wake wa kuimba na kucheza ndani ya kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar Ijumaa iliyopita.
Umati wa mashabiki wa Skylight Band uliofurika kwenye kiota cha Thai Village Masaki ukiburudika na burudani iliyokuwa ikiporomoshwa na Sam Mapenzi a.k.a Asali ya Warembo.
Aneth Kushaba AK47 akitoa burudani kwa mashabiki wa Skylight Band.
Pichani Juu na chini ni Wadau wa Skylight Band wakishow love mbele ya camera yetu.
Walionja kidogo tu utamu wa Skylight Band wakanogewa mpaka leo wamekuwa wanachama kabisa wa Band hiyo.
Martin Kadinda a.k.a mzee wa Single Button akijipinda na mduara ndani ya Skuylight Band.
Skylight Band ndio Band yao nambari One Tanzania... Wadau wakubwa kabisa wa Skylight Band wakijiachia ndani ya kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar.
Mdau akishow love na dada zake kwenye ukumbi wa Thai Village Masaki jijini Dar.
Mdau Alois Ngonyani akishow love na Classmate wake wa kitambo mdau Barnabas ndani ya kiota cha Thai Village.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni